ASANTE MTAMBALIKE AZANTE LULU KWA KUITOA KIMASOMASO TANZANIA KIMATAIFA {BONGO MOVIE}
Usiku wa March 5 / 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji waTanzania Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Single Mtambalike kushinda Tuzo za African Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria.
No comments
Post a Comment