Mtuhumiwa wa mauaji ya Mhandishi wa Habari Marehemu Daudi Mwangosi askari wa kikosi cha kutuliza ghasia {ffu} Mwenye G 2573 Pacifikius Cleophace Simon amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada y aupande wa mishtaka kuitaka mahakama kumfunga kifungo cha maisha jela.
Sauti ya Deogratius Nsokolo Rais wa Chama cha waandishi wa habari Tanzania hii hapa>>>
Sauti ya Deogratius Nsokolo Rais wa Chama cha waandishi wa habari Tanzania hii hapa>>>
No comments
Post a Comment