Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ney wa Mitego amefungiwa na Baraza la Sanaa Taifa kujihusisha na kazi za sanaa kwa kipindi kisichojulikana kufuatia kutoa wimbo wake wa Pale Kati Patamu hivi karibuni.
Katibu Mtendaji wa BASATA Godgrey Mngereza amesema leo kuwa Ney pia anatakiwa kulipa faini ya Tsh milioni moja.
No comments
Post a Comment