Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RAIS ROUSSEFF HATARINI KUENDELEA KUKALIA KITI CHAKE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Serikali ya umoja wa kitaifa ya Brazil imepata pigo baada ya kujiondoa chama mshirika cha PMDB. Mawaziri kutoka chama PMDB sasa itabidi wajiuzulu pamoja na watendaji wapatao mia sita walioteuliwa na serikali.
Kujiondoa kwa chama hicho sasa kunamweka pabaya Rais Dilma Roussef katika hatari ya kuondolewa madarakani na bunge.
Makamu wa Rais wa chama cha PMDB Romero Juca yeye ndio aliyetangaza uamuzi huo chama hicho kujiondoa.
"Kuanzia leo na kuendelea katika mkutano huu wa kiistoria wa PMDB, PMDB inajiondoa katika serikali ya Rais Dilma Rouseff." amesema Romero
Kwa upande wake msaidizi wa kiongozi wa upinzani Bungeni kutoka PMDB Leonardo Quintao wafanyabiasha wamekosa imani na Rais.
"Kila sekta ya uzalishaji nchini Brazil na vsekta ya fedha nchini Brazil, zimetoa taarifa zikisema wanajiondoa kuumuunga mkono Rais wa Brazil Dilma Rouseff, kwa sababu watu wanapoteza ajira. Mwaka jana karibu wabrazil milion moja nukta tano walipoteza ajira kwa sababu hawakuwa tayari kuwekeza nchini Brazil kutokana na jinsi Rais anavyoongoza serikali."

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RAIS ROUSSEFF HATARINI KUENDELEA KUKALIA KITI CHAKE

No comments :