Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ANTONIO CONTE KOCH AMPY ACHELSEA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Antonio Conte
Baada ya klabu ya Chelsea ya Uingereza kumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa muda Guus Hiddink, April 4 uongozi wa Chelsea umetangaza kocha wa kudumu atakayejiunga na klabu hiyo mwishoni mwa msimu. 

Chelsea imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha wa timu ya taifa ya Italia Antonio Conte, Chelsea imempa mkataba Conte ambaye atajiunga na timu hiyo baada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika akiwa anaiongoza timu ya taifa ya Italia katika michuano hiyo.

“Klabu ya Chelsea na soka la Uingereza kwa ujumla unaangaliwa sana popote uendapo, mashabiki wa soka Uingereza wanamapenzi na soka kweli, natumaini nitafurahia mafanikio hapa kama ilivyokuwa Italia” >>> Antonio Conte

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Antonio Conte aliwahi kuichezea timu ya taifa ya Italia kuanzia mwaka 1994 hadi mwaka 2000, lakini amewahi kuvifundisha vilabu vya Juventus ya Italia kuanzia mwaka 2011-2014, Siena na timu ya taifa ya Italia kuanzia mwaka 2014 hadi 2016. Conte kwa sasa ana umri wa miaka 46.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ANTONIO CONTE KOCH AMPY ACHELSEA

No comments :