Inawezekana umesikia kuhusu mafuriko yaliyotokea huko chalinze nyama na ukataka kujua zaidi jinsi hali ilivyo, ni kwamba nyumba zaidi ya mia moja zimesombwa na maji na familia kukosa mahali pa kuishi lakini kwa msaada wa viongozi wa mkoa huo wanaweza kuokoa hadha hii kwani tayari wamefika na kufanya tathmini ikiwepo kuwaandalia mazingira ya wepesi kwa muda huu.
Ipyana Stephene mwandishi na mtangazaji wa Rasi fm Dodoma amefika eneo la tukio na kukuleteakauli hizi
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
No comments
Post a Comment