Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NGUVU YA MWENDO KASI: MIKATABA YA USAMBAZAJI FILAMU YASABABISHA MADUKA YA KARIAKOO KUFUNGWA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Maduka mengi yanayouza filamu katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, yamefungwa baada ya mamlaka ya mapato Tanzania, TRA kuwataka wamiliki waoneshe mikataba ya usambazaji wa filamu hizo za nje.

Filamu hizo zinadaiwa kutolipiwa ushuru. Kwa mujibu taarifa ya Channel 10, baadhi ya maduka yamefunguliwa nusu huku wamiliki wakifanya biashara kwa kuibia.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NGUVU YA MWENDO KASI: MIKATABA YA USAMBAZAJI FILAMU YASABABISHA MADUKA YA KARIAKOO KUFUNGWA

No comments :