Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MIXTAPE ZA NYIMBO ZA YOUNG DEE ZINAKUJA SOON!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! GET READY
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rapper Young Dee amesema anajipanga kuachia mixtape yake.
Amedai kuwa yeye na uongozi wake wa MDB wamejadiliana na kuona kuna umuhimu wa kuanza kutoa nyimbo nyingi kwa ajili ya mashabiki katika mfumo wa mixtape.

“Nyimbo zipo nyingi sana halafu nilikuwa kimya tulifikiria mwishoni mwa mwaka huu tutengeneze platform ambayo watu wataweza kupata ngoma zangu online, zitakuwa katika mfumo wa mixtape,”rapper huyo alimweleza mtangazaji wa Jembe FM, JJ.

Amesema tayari ameanza kuandaa kazi mpya kwaajili ya mixtape hiyo na baadaye ndipo watatangaza lini itatoka.Hivi karibuni rapper huyo aliachia wimbo wake ‘Hands Up.’

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MIXTAPE ZA NYIMBO ZA YOUNG DEE ZINAKUJA SOON!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! GET READY

No comments :