Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MZEE WETU WENGER VEPEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ndivyo unavyoweza kuanza na swali la namna hiyo kwa kocha huyu, lakini majibu ya swali hilo ameyatoa wakati akizungumza na shirika la habari la uingereza BBC.
Meneja wa klabu ya Arsenal ya Uingereza, Arsene Wenger amesema kuwa hatma yake katika klabu hiyo ya Emirates inategemea jinsi matokeo ya klabu hiyo msimu huu yatakavyokuwa.
''Mkataba wangu utakamilika Juni mwakani kwa hivyo nitakachofanya baada ya hapo itategemea na matokeo ya msimu huu'' alisema Wenger.
Raia huyo wa Ufaransa 66, aliajiriwa mwezi Septemba 1996 kuiongoza klabu hiyo.
Mkataba wake wa sasa utakamilika mwishoni mwa mwezi juni mwaka ujao.
Arsenal haijashinda taji la ligi kuu ya Uingereza tangu mwaka wa 2004 jambo ambalo limechochea uhasama dhidi ya Wenger haswa kutoka kwa mashabiki wa klabu hiyo.
Awali wenger alikuwa amehusishwa na wadhfa wa kocha wa timu ya Uingereza lakini Sam Allardyce akachaguliwa kuchukua pahala pake Roy Hodgson.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MZEE WETU WENGER VEPEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?

No comments :