Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » DHARURA KUTANGWAZWA NEVADA, MAREKANI BAADA YA KUKOSEKANA KWA BANGI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mahitaji yamekuwa ya juu tangu bangi ihalalishwe kwa matumizi ya kujiburudisha tarehe mosi mwezi huu.
Maafisa katika jimbo la Nevada nchini Marekani wanachukua hatua za dharura kukabiliana na uhaba wa bangi.

Hii imetokana na ukosefu wa wauzaji wa autosha.
Sheria iliwapa wauzaji wa pombe ruhusa ya kuuza bangi lakini wengi hawatimizi mahitaja ya leseni kuweza kuuza bidhaa hizo.
Idara ya kodi katika jimbo hilo ilitangaza dharaua, inayomaanisha kuwa maafisa watachukua hatua za dharura kukabiliana na uhaba huo.
  • Mauzo ya karibu dola milioni 3 yalikadiriwa siku nne za kwanza baada ya matumizi ya bangi kuhalalishwa.
Nevada ilipiga kura ya kuhalalisha matumi ya bangi kwa burudani mwezi Novemba kufuatiu hatua kama hizo katika majimbo mengine.
Matumzi ya bangi kwa matibabu yameruhusiwa katika majimbo 25 ikiwemoi Nevada ambapo imehalalishwa tangu nwaka 2001.
Bbcswahili.com

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / DHARURA KUTANGWAZWA NEVADA, MAREKANI BAADA YA KUKOSEKANA KWA BANGI

No comments :