Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KAULI YA CHADEMA NI NINI KUHUSU MNYIKA KUJIVUA UANACHAMA?
«
Next
HIZI HAPA KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO DC 4.2017 HIZI HAPA KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO DC 4.2017
»
Previous
KOREA KASKAZINI: TRUMP NI JINI MBAYA WA NYUKLIA KOREA KASKAZINI: TRUMP NI JINI MBAYA WA NYUKLIA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha habari inayoenea kuhusu Mbunge wa Kibamba, John Mnyika kujivua uanachama kuwa hazina ukweli wowote na zinapaswa kupuuzwa.

Chadema wametua kanusho hilo kupitia mtandao wa Twittter kwenye ukurasa wa chama hicho na kusema kwamba wanaosambaza habari za Mnyika kujivua ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya maisha ya watanzania.

"Kuna taarifa zinasambazwa mitandaoni ya kuwa Mhe. John Mnyika, Mbunge wa Kibamba amejivua uanachama wa CHADEMA. Taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, ni za kupuuzwa, wanaozisambaza ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya hali ya maisha ya Watanzania".

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

/ / KAULI YA CHADEMA NI NINI KUHUSU MNYIKA KUJIVUA UANACHAMA?

No comments :