Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TIGER WOOD, ASHIKA NAMBA TISA MICHUANO YA BAHAMAS
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Licha ya kukosa ubingwa katika mashindano ya Bahamas yaliyomalizika jana, wachambuzi wa masuala ya mchezo wa Gofu, wamesema huenda Tiger Woods akarejea katika kiwango cha kuridhisha kutokana makali aliyoyaonyesha tangu aanze mazoezi na hatimaye ushiriki wake katika mashindano.

Woods ambaye amecheza kwa mara ya kwanza tangu atangaze kujiondoa mwezi februari mwaka huu, alishika nafasi ya tisa kati ya wachezaji 19 walioshiriki michuano hiyo, na bingwa alikuwa Rickie Fowler wa Marekani.  Na nafasi ya pili ikienda kwa Charley Hoffman (Marekani), ya tatu kwa Tommy Fleetwood (Uingereza), Jordan Spieth (Marekani) akishika nafasi ya nne, na nafasi ya tano ikienda kwa Hideki Matsuyama (Japan).

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TIGER WOOD, ASHIKA NAMBA TISA MICHUANO YA BAHAMAS

No comments :