Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MAGUFULI: CDA NITAWASHUGHULIKIA TU, NA WATENDAJI WAZEMBE WATANIONA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye  uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo akiendelea na kampeni zake za kuisaka Ikulu nchini Kote akiwaomba watanzania kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ili aweze kuwatumikia kwa uaminifu mkubwa.

Akitoa hotuba yake katika moja ya mikutano  yake alioufanya katika mji wa Kibaigwa Dk. John Pombe Magufuli amesema hakuna kitu kinachomuumiza kama mauaji ya wakulima na wafugaji tanayotokea kati ya wilaya za Kongwa Mkoani Dodoma na Kiteto  mkoani Manyara ni jambo ambalo linamuumiza sana kwani watanzania tumezoea amani na si mapigano.

Ameongeza kwamba katika serikali yake mara baada ya kuchaguliwa  na kuunda serikali ni jambo ambalo ataliangalia kwa umiakini mkubwa.

 “Yaani Mimi Magufuli Nimteuwe Waziri na watendaji wengine wa serikali alafu Mauaji yatokee watu wafe. 

Mkuu wa mkoa yupo , Mkuu wa wilaya yupo  na Kamanda wa Polisi yupo wabaki wanapunga upepo, wamiliki wa Ng’ombe wabaki  wanakula maisha haiwezekani Nitalala nao mbele na  Ng’ombe wataliwa msibani kwa uzembe waliosababisha”

Magufuli amewataka wafugaji na wakulima kuishi kwa amani bila kubaguana lakini pia akasema atatumia sheria za ardhi na kuhakikisha maeneo ya wafugaji na wakulima yanatengwa, ili wafanye shughuli  zao na kukuza kipato na  uchumi wao bila kusumbuliwa. 

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MAGUFULI: CDA NITAWASHUGHULIKIA TU, NA WATENDAJI WAZEMBE WATANIONA

No comments :