Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » R.I.P MAMA SELINA KOMBANI, MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Usiku wa September 24 2015 taarifa ya Majonzi imesambaa na kuwafikia watu kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari pamoja na mitandao ya Kijamii, Serikali ikathibitisha pia kuhusu msiba wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mama Celina Kombani amefariki Dunia kutokana na maradhi ya Saratani, na amefariki akiwa India ambako alienda kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Kuhusu taratibu zinazofatia, nimeipata taarifa kutoka Ofisi za Bunge ambapo inaonesha mipango ya kusafirisha mwili wa Marehemu mpaka Dar es Salaam inafanyika na mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili Dar Jumatatu September 28 2015, na baadae msiba utasafirishwa kupelekwa Mahenge Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya mazishi.
Marehemu Mama Celina Kombani amefariki akiwa na umri wa miaka 56 na alikuwa Waziri na pia Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki.

January Makamba @JMakamba
 
Mpenzi wetu Celina Kombani, Mbunge wa Ulanga Mashariki, hatunaye tena. Bwana ametoa, bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Pumzika kwa amani.

Nimepokea kwa majonzi makubwa taarifa ya msiba wa Mama Celina Kombani. Nawapa pole wananchi wa Ulanga Mashariki na Chama Cha Mapinduzi kwa kupoteza aliyekuwa Mbunge wenu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amina

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / R.I.P MAMA SELINA KOMBANI, MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI.

No comments :