Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UNADHANI NI SAHIHI PROFFESIONAL KUVAA KIAUTU KAMA HIKI? SIMBA WAMEVUNJA REKODI KUPITIA KWA MSENEGAL PAPE NDAW
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kiatu cha mshambuliaji mpya wa Simba, Pape Ndaw raia Senegal kimekuwa gumzo kupita kiasi mitandaoni.

Mshambuliaji huyo aliingia katika mechi hiyo kuchukua nafasi ya Hassan Kessy wakati Simba ikiivaa Yanga na kupoteza kwa mabao 2-0.
Ndaw ambaye urefu wake ni futi 6.6 na ndiye mchezaji mrefu zaidi katika Ligi Kuu Bara, alionekana akiwa amevaa kiatu aina ya Adidas chenye rangi nyeupe na bluu kikiwa kimechakaa kwelikweli.
Kiatu hicho ‘kilivutwa’ na runinga ya Azam TV na kuzua gumzo kwelikweli.
Uchakavu wa kiatu hicho ambacho ukubwa wake utakuwa zaidi ya namba 12, kilionekana kuchoka utafikiri wachezaji wa ‘mchangani’.
Kuanzia hapo, mashabiki wa Yanga wameanza kuwadhihaki wenzao wa Simba kwamba wamesajili mchezaji ambaye hana hata fedha ya kununua kiatu tu!
Wengi walikuwa wakiwatania Simba na kuwaambia ‘wamepigwa’ hawezi kuwa ana mawasiliano au mkataba na Steau Bucharest ya Romania wakati hata kiasi tu hawezi kununua tena katika mechi kubwa kama hiyo.

Baadhi ya mashabiki wa Simba walikuwa wakijibu mapigo kwamba kununua kiatu si kazi ya klabu, badala yake mchezaji mwenyewe.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UNADHANI NI SAHIHI PROFFESIONAL KUVAA KIAUTU KAMA HIKI? SIMBA WAMEVUNJA REKODI KUPITIA KWA MSENEGAL PAPE NDAW

No comments :