Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » AZAM FC YAZIDI KUNG'ANG'ANIA NAFASI YA PILI,MBEYA CITY YATOTA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mfungaji wa goli la kwanza la Azam FC Mudathir Yahya (kushoto) akishangilia goli lake na mchezaji mwenzake Farid Mussa

 Jumapili ya September 27 ni siku ambayo mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara zimeendelea kwa michezo miwili kupigwa Dar Es Salaam na mkoani Tanga. Mechi ambazo zimechezwa September 27 ni Azam FC waliwakaribisha Mbeya City kutokea Jijini Mbeya katika uwanja wao wa Azam Complex, wakati katika uwanja wa Mkwakwani Tanga African Sports walikuwa wenyeji wa Ndanda FC ya Mtwara.

Mechi imemalizika kwa klabu ya Azam FC kuibuka na ushindi wa goli 2-1, hivyo klabu ya Mbeya City inaendelea kubakika na point zake tatu baada ya kucheza mechi zake nne kushinda moja na kupoteza mechi tatu. 

Magoli ya Azam FC yalifungwa na Mudathir Yahaya dakika ya 11 kipindi cha kwanza baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Salum Abubakar

Kipindi cha pili kilianza kwa klabu ya Mbeya City kuanza kwa kuonyesha jitihada za kutaka kutafuta goli la kusawazisha ila Salum Abubakar kwa mara nyingine tena alipiga pasi kwa Kipre Tchetche dakika ya 53 na kufunga goli la pili, Mbeya City walifanikiwa kupata goli la kufutia machozi kupitia kwa Raphael Alpha dakika ya 55.

Matokeo ya mechi ya Mkwakwani
African Sports 1 – 0 Ndanda FC

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / AZAM FC YAZIDI KUNG'ANG'ANIA NAFASI YA PILI,MBEYA CITY YATOTA

No comments :