Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » USHAWAHI KUFIKIRIA KUWA KUNA UWANJA ULIOJENGWA NDANI YA MAJI? KUTANA NA MARINA BAY
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Marina Bay umejengwa kwa vyuma lakini unaelea na unatajwa kuwa na uzito wa tani  1,070 ambazo ni sawa na uzito wa watu 9000, upande wa jukwaa la mashabiki lina uwezo wa kubeba watu 30,000. Uwanja huo toka mwaka 2007 umekuwa ukitumika kwa shughuli mbalimbali kama soka, michezo mingine, matamasha, maonyesho ya sanaa pamoja na sherehe za kitaifa zinazohusisha gwaride la askari jeshi na polisi.
 Kama hukuwahi kubahatika kutembelea Singapore basi Marina Bay ni moja kati ya sehemu ambazo unapaswa kutembelea kama utafanikiwa kufika SingaporeMarina Bay ni uwanja wa mpira wa miguu ambao unaelea kwenye maji, yaani sehemu ya kuchezea inaelea ila majukwaa yapo nchi kavu.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / USHAWAHI KUFIKIRIA KUWA KUNA UWANJA ULIOJENGWA NDANI YA MAJI? KUTANA NA MARINA BAY

No comments :