Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAHAMIAJI WASABABISHA MSUKOSUKO ULAYA.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kumekuwa na dalili za kuongezeka misukosuko kati ya nchi za ulaya, wakati zinapojaribu kukabiliana na maelfu ya wahamiaji na wakimbizi wanaojaribu kufika kaskazini na magharibi mwa ulaya.
Hungary umemlaumu jirani wake Croatia kwa kukiuka sheria za kimataifa na kushiriki katika ulanguzi wa watu, baada ya utawala nchini croatia kuanza kusafirisha wahamiaji kwenda nchini Hungary bila kuwaandikisha.
Akiongea na BBC waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Croatia Vesna Pusic, ametaka kuwepo hatua za pamoja kutatua suala hilo na kujumuisha nchi zote za ulaya na nchi majirani.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAHAMIAJI WASABABISHA MSUKOSUKO ULAYA.

No comments :