Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MAHAKAMA RWANDA YAGOMA KUSIKILIZA RUFAA YA WAPINZANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mahakama ya Juu nchini Rwanda imetupilia mbali kesi ya kupinga mpango wa kufanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo kumruhusu Rais Paul Kagame kuwania urais kwa muhula wa tatu.

Kesi hiyo ilikuwa imewasilishwa na chama cha upinzani cha Green Party.

"Kesi hii…haina msingi wowote na imetupwa,” shirika la habari la AFP limemnukuu Jaji Mkuu Sam Rugege akisema.

Wabunge walikubaliana mwezi Julai kufanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo na kuandaa kura ya maamuzi kuhusu suala hilo.

"Kuwanyima watu uhuru wa kuamua jinsi watatawaliwa si demokrasia, ni kinyume cha demokrasia,” jaji huyo amesema.

Rais Kagame ameongoza kwa mihula miwili ya miaka saba baada ya kushinda uchaguzi 2003 na 2010. Aliingia mamlakani 2000 baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wakati huo Pasteur Bizimungu.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MAHAKAMA RWANDA YAGOMA KUSIKILIZA RUFAA YA WAPINZANI

No comments :