Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TAKUKURU YAKAMATA VITAMBULISHO 134 VYA MPIGA KURA MKOANI KAGERA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Vitambulisho 134 vya Kupigia kura, vimekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa –TAKUKURU- mkoani Kagera baada ya kukutwa vimenunuliwa na Kundi la watu kutoka kwa wapiga kura.

Taarifa ambazo zimethibitishwa na Naibu mkuu wa Takukuru mkoani Kagera, John Joseph vitambulisho hivyo vimekamatwa vikiwa tayari vimenunuliwa kutoka kwa wananchi kwa bei ya kati ya shilingi 5,000 hadi 10,000.

Amesema kuwa kukamatwa kwa Vitambulisho hivyo, kumetokana na baadhi ya Vijana walioshawishiwa kuuza kadi hizo na kundi la watu wanaopita, kutoafiki na kisha kulazimishwa kufanya hivyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TAKUKURU YAKAMATA VITAMBULISHO 134 VYA MPIGA KURA MKOANI KAGERA

No comments :