Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » YA DUNIANI!! KUTANA NA MTOTO ALIYEZALIWA BILA SEHEMU KUBWA YA FUVU LA KICHWA,SASA ATIMIZA MWAKA MMOJA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Jaxon Buell alizaliwa August 27, 2014 huko Birmingham, Uingereza akiwa hana sehemu kubwa ya fuvu la kichwa pamoja na ubongo. 

Brandon na Brittany ambao ni wazazi wake waliambiwa na madaktari kuwa ni vyema wakakubali kuitoa mimba ya mtoto huyo lakini hawakuwa tayari na hata mtoto huyo alipozaliwa waliambiwa hataweza kuishi muda mrefu kutokana na ukubwa wa tatizo lake.

Baada ya miezi mingi kupita akiwa anafanyiwa uchunguzi na madaktari waligundua kuwa hakuna kinga yoyote itakayomsaidia kuendelea kuishi lakini wazazi wake hawakukata tamaa na walifanya kila jitihada kuhakikisha mtoto wao anaendelea kuishi.

Wazazi wa Jaxon, Brandon na Brittany pamoja na mtoto wao wakiwa na nyuso za furaha

Wazi hao waliweza kukusanya kiasi cha dola 100,000 kutoka kwa watu mbalimbali ili kuokoa maisha ya mtoto wao tangu azaliwe na sasa ana miezi 13 na anaendelea vizuri.

Unaweza kuitazama na hii video yake hapa pia…
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / YA DUNIANI!! KUTANA NA MTOTO ALIYEZALIWA BILA SEHEMU KUBWA YA FUVU LA KICHWA,SASA ATIMIZA MWAKA MMOJA

No comments :