Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HATIMAYE DOKTA EVA AFUNGA NDOA, JOSE MOURINHO HAJAONEKANA UKUMBINI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Aliyewahi kuwa daktari wa Chelsea, Eva Carneiro  amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, Jason De Carteret.

Ndoa hiyo iemfungwa jana jijini London, England na gumzo kubwa lilikuwa ni je, Jose Mourinho alialikwa, ukweli ni kwamba, hakualikwa.

Eva mwenye umri wa miaka 42, anaishitaji Chelsea pamoja na Mourinho kutokana na kitendo cha yeye kusimamishwa kazi wakati hakuwa na kosa, badala yake alifanya kazi kiweledi kuingia uwanjani kumtibu Eden Hazard ambaye aliumia.
Wakati wa ndoa yake, Eva ambaye amekuwa gumzo tokea kuondoka kwake Chelsea, alionekana ni mwenye furaha kupindukia.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HATIMAYE DOKTA EVA AFUNGA NDOA, JOSE MOURINHO HAJAONEKANA UKUMBINI

No comments :