Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MATOKEO YA LEO NOV.13 KUFUZU KOMBE LA DUNIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ukanda wa Afrika Mashariki unazidi kutakata baada ya jana Uganga
kushinda ugenini nchini togo, leo kenya nayo imeshinda nyumbani dhidi ya cape verde Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imeondoka na ushindi dhidi ya Cape Verde mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia iliyochezewa Nairobi. 

Kenya imeilaza Cape Verde 1-0 kwenye mechi hiyo ya raundi ya pili ya kufuzu kwa fainali zitakazochezewa Urusi mwaka 2018.
Bao pekee la Harambee Stars limefungwa na Michael Olunga anayechezea klabu ya Gor Mahia dakika ya tisa.

Mechi ya marudiano itachezewa mjini Praia Jumanne ijayo.

Matokeo kamili ya mechi zote na ratiba ziko hivi:

Bolivia 4 - 2 Venezuela

Ecuador 2 - 1 Uruguay

Chile 1 - 1 Colombia

 Madagascar 2 - 2 Senegal

Comoros 0 - 0 Ghana

Kenya 1 - 0 Cape Verde

Libya 1 - 0 Rwanda

 Angola 1 - 3 South Africa

Niger 0 - 3 Cameroon

Liberia 0 - 1 Ivory Coast
 
Mauritania 1 - 2 Tunisia
 
Swaziland 0 - 0 Nigeria

MECHI ZA KESHO ALFAJIRI AMERIKA

03:00 Argentina ? - ? Brazil

05:15 Peru ? - ? Paraguay

05:00 Mexico ? - ? El Salvador

06:08 Canada ? - ? Honduras

05:00 Costa Rica ? - ? Haiti

05:00 Jamaica ? - ? Panama

03:10 USA ? - ? Saint Vincent and The Grenadines

04:06 Guatemala ? - ? Trinidad and Tobago

MECHI ZA KESHO UKANDA WA AFRIKA

16:00 Ethiopia ? - ? Congo

16:30 Tanzania ? - ? Algeria

17:30 Chad ? - ? Egypt

19:00 Botswana ? - ? Mali

20:00 Gabon ? - ? Mozambique

MATOKEO YA JANA

Norway 0 - 1  Hungary

mechi ya leo november 13

22:45 Bosnia-Herzegovina ? - ? Ireland

Mechi za Kesho

20:00 Ukraine ? - ? Slovenia

22:45 Sweden ? - ? Denmark

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MATOKEO YA LEO NOV.13 KUFUZU KOMBE LA DUNIA

No comments :