Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WALIOMNYANG'ANYA NYUMBA MZEE JUMA ISANGU WAITWA MAHAKAMA YA NYUMBA KWA HATI YA DHARURA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hatimaye Mahakama ya ardhi na nyumba kanda ya Arusha imewaita kwa hati ya dharura Bi Janeth Fosbrooke na wakala wa mahakama Majembe Auction Mart wanaodaiwa kumwondoa kwa nguvu katika nyumba yake mzee Juma Isangu kwa ajili ya kujibu shitaka linalo wakabili.

Ilikuwa ni majira ya saa tano asubuhi katika mahakama ya ardhi na nyumba kanda ya Arusha ambapo mwenyekiti wa mahakama ya ardhi na nyumba  mkoa wa Arusha Cyriacus 
 
Kamugisha alisoma shitaka linalo wakabili Bi Janeth Fasbrooke na wakala wa mahakama Majembe Auction Mart lakini mwakilishi wa wakala wa mahakama alipo ulizwa alipata wapi ruhusa ya kuvamia na akatoa vyomba katika nyumba hiyo akatoa utetezi kuwa alifauta amri ya mteja wake na kwamba hausiki katika mgogoro huo.
 
Lakini mwenyekiti Kamugisha alilazimika kuahirisha shitaka ilo hadi jumatatu ya tarehe kumi na sita saa mbili asubuhi kutokana na Bi Janeth kushindwa kuhudhulia mahakamani kwa madai kuwa ni mgonjwa na mahakama kumtaka tarehe kumi na sita bila kukosa afike mahakani hapo. 
 
wakili wa mzee Juma Isangu Willfredy Milambo alieleza kutoridhishwa na Bi Janeth kutofika mahakama kwa madai kuwa inachelewesha hukumu kwakuwa hali ya mteja wake inazidi kuwa mbaya ambaye hivi sasa amepelekwa katika hospitali ya rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro kwa matibabu zaidi kutoka na mshituko aliyo upata.
 
nyumbani kwake Bi Janeth Fasbooke alieleza uhalali wake katika eneo ilo na kuonesha baadhi ya hati anazo dai kumpa haki katika nyumba hiyo.
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WALIOMNYANG'ANYA NYUMBA MZEE JUMA ISANGU WAITWA MAHAKAMA YA NYUMBA KWA HATI YA DHARURA

No comments :