Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NDEGE ZA US ZIMEONEKANA KATIKA VISIWA VINAVYOZOZANIWA VYA UCHINA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ndege za kivita za Marekani za B-52 zimepaa na kupitia katika eneo linalozozaniwa huko kusini mwa visiwa vya Uchina.

Pentagon imesema ndege mbili za kivita kutoka Marekani ziitwazo US B-52 zimeelekea katika kisiwa kilichojengwa na Uchina katika eneo linalozozaniwa na mataifa hayo mawili katika bahari ya kusini mwa Uchina.

Zoezi hilo limefanyika licha ya onyo kutoka kwa maafisa wa Uchina. 

Tukio hilo linafanyika huku ziara ya rais Barack Obama ya huko Manila ikitarajiwa wiki ijayo, ambako pia rais wa Uhina Xi Jinping anatarajiwa kuhudhuria.

Uchina inazozana pia na mataifa mengine kadhaa majirani zake katika eneo hilo la bahari. 

Eneo hilo lina mali asili nyingi na Uchina inawahi kwa kujenga katika maeneo ya mwamba huo na kufanya harakati nyenginezo za kimaendeleo harakati zinazopingwa na majirani zake na hata Marekani.

Msimamo wa Marekani ni kuwa ingependelea kuwa na uhuru wa kupita maeneo hayo kwani ni kanuni za kimataifa kutomiliki meeneo ya bahari na anga yaliyombali sana na nchi yako.

Kwa msimamo huo wanasema kitendo cha kupelekwa kwa ndege hizo B-52 katika eneo hilo si kinyume cha sheria kama inavyodaiwa na Uchina kwani walikuwa umbali zaidi ya maili 15 ndani ya bahari kama inavyoruhusiwa na sheria za kimataifa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NDEGE ZA US ZIMEONEKANA KATIKA VISIWA VINAVYOZOZANIWA VYA UCHINA

No comments :