Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UKRAIN YAIZUIA URUSI KUTUMIA ANGA LAKE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Ukraine imefunga anga lake kwa ndege zote za Urusi.

Aidha nchi hiyo imefuta kandarasi zote za ununuzi wa gesi ilizoandikisha na Urusi.

Kauli hii inafwatia kuzimwa kwa umeme kutoka Ukraine kwenda jimbo lililomeguliwa la Crimea.
Crimea imekuwa bila umeme kuanzia mwishoni mwa juma baada ya nyaya zinazosambaza umeme kulipuliwa na watu wasiojulikana.
 
Kampuni ya nishati ya Urusi Gazpron imeacha kupeleka gesi nchini Ukraine wakisema sababu ni kuwa nchi hiyo haijailipia gesi hiyo.
Urusi inailaumu Ukraine kwa matukio hayo huku Ukraine ikilaumu waasi wa Tartar.

Wakati huohuo kampuni ya nishati ya Urusi Gazpron imeacha kupeleka gesi nchini Ukraine wakisema sababu ni kuwa nchi hiyo haijailipia gesi hiyo.

Usafirishaji wa gesi ulirejelewa mwezi uliopita katika makubaliano ambayo yaliitaka Ukraine kuilipa gesi hiyo mapema.

Usafirishaji wa gesi umesitishwa mara kwa mara tangu mzozo kuibuka kati ya Urusi na Ukraine uliosabaishwa na hatua ya Urusi ya kulimega eneo la Crimea lililokuwa Ukraine.

Mkuu wa Gazprom anaonya kuwa usafirisha wa gesi kwenda nchi za ulaya kupitia nchini Ukraine utaathiriwa.

Kwa sasa Ukraine imesitisha shughuli zozote za kibiashara na Crimea.

Kwa upande wake Urusi imetishia kusimamisha ununuzi wa bidhaa za Ukraine.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UKRAIN YAIZUIA URUSI KUTUMIA ANGA LAKE

No comments :