Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KUELEKEA MWAKA MPYA LONDON YAIMARISHWA KIUSALAMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hali ya usalama katika mji wa London siku moja kabla ya mkesha wa mwaka mpya imeimarishwa, huku hali ya tahadhari ya usalama ikiendelea kuwa ya juu.

Kwa kawaida mji wa London hukaribisha mwaka mpya kwa tamasha la fataki linalovutia maelfu ya watu.

Kamanda wa polisi wa London Jo Edwards anasema,"kutakuwa na polisi elfu 3 mjini London wakati wa mkesha wa mwaka mpya, watu wataona ongezeko la idadi ya polisi ikiwezekana na polisi wenye silaha, ikiwa ni pamoja na wale wa London na wanaolinda usalama kwenye usafiri watakuwa na mipango yao ya kuimairsha usalama kwenye vituo vya usafiri nao pia watakuwa na silaha"

Kwingineko mjini Brussels nchini Ubelgiji usalama umeimarishwa baada ya polisi kuwakamata watuhumiwa wawili wanaodhaniwa kutaka kufanya shambulizi. Msemaji wa serikali ya Ubelgiji amesema hakuna silaha zilizokamatwa, lakini mavazi ya kijeshi nyaraka za uchochezi za kundi la IS zilikamatwa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KUELEKEA MWAKA MPYA LONDON YAIMARISHWA KIUSALAMA

No comments :