Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MAAMUZI MAGUMU YA DK. MAGUFULI HAYA HAPA NA KWA WENGINE IMEBIDI WASUBIRI KWANZA KIDOOOOOOGO {MAJINA YA MAWZIRI HAYA HAPA}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

BARAZA LA MAWAZIRI
Ndugu waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla, ninawasalimu sana. Nawakaribisha katika kikao hiki cha kutangaza baraza la mawaziri,

Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama.

Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elekezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure.

Wizara ni 18 lakini Mawaziri ni 19 kwa sababu wizara ya Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma naiunganisha na Utawala bora hivyo itakua na mawaziri wawili. Wizara ni kama ifuatavyo;

1. Ofisi ya Rais, Tamesemi utumishi na utawala bora, Mawaziri; Simbachawene na Kairuki, Naibu waziri Jaffo

2. Mazingira: January Makamba, naibu Makamba

3. Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma

4. Ulemavu: Waziri ni Anthonu Mavunde

5. Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi : Waziri ni Mwigulu Lameck Nchemba na Naibu wake ni William Nash

6. Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano: Waziri bado sijamtafuta, naendelea kumfikiria, Naibu waziri Ngonyani.

7. Fedha na mipango: Waziri bado, naibu Kijachi

8. Nishati na madini: Waziri ni Muhongo, Naibu bado

9. Katiba na sheria: Waziri Mwakyembe

10. Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki: Augustino Mahiga nimemteua mbunge na waziri, Naibu Dr Suzan

11. Ulinzi na kujenga taifa: Waaziri Dr. Hussein Mwinyi naibu bado

12. Ardhi na maendeleo ya makazi: Waziri ni Wiliam Lukuvi, Naibu Angelina Mabula

13. Utalii: Waziri bado

14. Viwanda na biashara: Waziri Charles Mwijage

15. Sayansi na ufundi: Waziri bado, Naibu ni Stella Manyanya

16. Afya na Ustawi wa jamii: Ummy Mwalimu, Naibu ni Kingwangala

17. Wizara yaHabari l,Utamaduni na Wasanii : Waziri ni Nape Nnauye,

18. Wizara ya maji na umwagiliaji: Waziri Makame Mbarawa, Naibu ni Kamwene

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MAAMUZI MAGUMU YA DK. MAGUFULI HAYA HAPA NA KWA WENGINE IMEBIDI WASUBIRI KWANZA KIDOOOOOOGO {MAJINA YA MAWZIRI HAYA HAPA}

No comments :