Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » PESA NA BETRI YA SOLAR VYASABABISHA KIFO KWA MTOTO MKOANI NJOMBE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

John banda Njombe

MAMA na wajomba wawili wa Mtoto Peter Mturua wakazi wa Igagala halmashauri ya Wanging’ombe, wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa mauaji ya mtoto wao huyo kwa kuiba pesa na betri ya solar.

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Wilbrod Mutafungwa amemtaja mama huyo kuwa ni Devota Mhagama (38), na wajomba ni Motestu Mwajombe (26), na Wilium Msigwa (18) wakazi wa kijiji cha Igagala kata ya Ulembwe wilaya ya Wanging’ombe.

Akisimulia kisa cha kuuawa Peter amesema kuwa mtoto huyo  aliuwawa  Disemba 23, mwaka huu majira ya saa 1:40 usiku, mtoto huyo alituhumiwa kuiba shilingi 40,000 na betri ya sola ambayo alikuwa akitumia mama yake nyumbani kwao.

Alisema kuwa marehemu alipigwa kwa kuchangiwa na Mama, wajomba na kusababisha kifo chake baada ya kubaini kuwa pesa zilizo kuwa zimehifadhiwa na mama yake na kusema kuwa watuhumiwa watafikishwa mahakamani uchunguzi ukikamilika.

Na John Banda

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / PESA NA BETRI YA SOLAR VYASABABISHA KIFO KWA MTOTO MKOANI NJOMBE

No comments :