Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » DEREVA WA FORMULA 1 ATOA SIRI YA PATO KUFANIKISHA DILI SHELSEA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kama tulivyokuwa tukisikia tetesi kila siku, hatimaye Chelsea inakamilisha kuinasa saini ya Alexandre Pato kutoka Corinthians.
Baada ya majadiliano ya makubaliano, Chelea itamsajili Pato kwa mkopo wa mkataba wa miezi sita.
The Blues itathibitisha uhamisho huo wakati Pato atakapokuwa akiwasili London leo Jumatano.
Chelsea imesema imeshakubaliana na mchezaji huyo kumlipa mshahara wake wote wa kipindi cha miezi sita. Mshahara huo unakadiriwa kufikia kiasi cha paundi milioni 1.3.
Dereva wa Formula 1 Felipe Massa ameshaandika kwenye ukurasa wake wa isntagram kumtakia kila laheri wakati anapoelekea Stamford Bridge kuanza maisha mapya.
Japokuwa kumekuwa na shaka juu ya fitness ya mchezaji huyo, Pato ameshaichezea Sao Paulo michezo 61 akiwa kwenye klabu hiyo kwa mkopo akitokea Corithians.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa AC Milan hajachezea mchezo wowote tangu alipocheza kwa mara ya mwisho mwishoni mwa November mwaka jana.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / DEREVA WA FORMULA 1 ATOA SIRI YA PATO KUFANIKISHA DILI SHELSEA

No comments :