Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » RONALDINHO AMENUSURIKA UNAJUA KWA LIPI NI ..................!!
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Star wa Brazil Ronaldinho amenusurika kifo nchini India baada ya nguzo ya taa ya barabarani ya kuongozea magari kudondoka njiani na kuziba njia futi chache kutoka lilipokuwa gari ambalo limembeba Star huyo aliyewahi kutamba na timu ya Barcelona ya Hispania na timu ya taifa ya Brazil.

Kundi kubwa la mashabiki waliokuwa wakilifuata gari hilo lilinyamaza wakati nguzo hiyo yenye kutu ilipoanguka na kuikatiza barabara. Shukrani za pekee ziwaendee polisi walioibeba nguzo hiyo kwa mikono kuiondoa barabarani kisha msafara wa Ronaldinho ukaendelea na safari.

Ronaldinho alikwenda India kwa ajili ya kuzindua mashindano ya mpira wa miguu (Sait Nagjee football tournament) na alikuwa njiani kutembelea moja ya shule kabla ya kukutwa na janga hilo.

Hivi ndivyo alivyonusurika kiungo huyo ...{Videoz}

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / RONALDINHO AMENUSURIKA UNAJUA KWA LIPI NI ..................!!

No comments :