Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KUTANA NA GOLDEN GATE SANITARIUM CLINIC KUHUSU SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO KATIKA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA, JIFUNZE HAPA......
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO KATIKA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA
Hii ni hali ya mtu kuwa katika wasiwasi au woga kwa sababu zisizoeleweka kwa urahisi. Yaani kunatatizo Fulani linamsibu au kumkera kila wakati bila kikomo. Hali hii umsababishia mtu udhaifu katika kujenga hali ya kutamani au kuliwazia tendo la ndoa.

Upande wa mwanamke inaweza kuwa matatizo ya watoto kiafya, kula kwa watoto, tabia mbaya ya mumewe kama vile ulevi uliopindukia.

kingine ni woga wa ndugu za mumewe kuwa wakorofi, saa zingine ni usafi mdogo wa mume km kutoooga, kuvaa nguo chafu kila mara na kutopiga mswaki ni vitu ambavyo uwakera akina mama.
kutojali hisia zao chumbani mf, kutomuandaa na kufanya naye kwa papara kitu ambacho umasababishia maumivu na kujiona kama chombo cha kumfurahisha mwanaume tu na huu ni ubakakji ndani ya ndoa. Hali ya kumaliza tendo mapema ni tatzo jingine . 

mwanamke ndio anaanza kusisimka tayari umemaliza na kulala kuelekea kibla kama mbuzi wa sikukuu unakuwa hutendi haki. Kama hali hii itajirudirudia umfanya mama asipende hata kidogo kusikia tendo hilo. Hapa ndipo chanzo cha magonjwa ya akina mama kuanza kutetemeka na kuumwa na kiuno maana yake huyu mama unamuua wewe mwenyewe taratibu lakini kwa uhakika.

Swala la kutomjali katika maisha yake ya nje ya nyumba na kumfanyia vitendo vya kumdhalilisha hadharani kama vile kumpiga, kumtukana na mambo mengine yanayoweza kumtoa nje ya furaha. 

Mwanamke ailiye katika mahusiano kama hayo ujihesabia kama asiyeheshimiwa na kudhaminiwa. Kitu ambacho umfanya kutojisikia kufanya tendo la ndoa. Yaa hata kama haonyeshi waziwazi lakini ujenga chuki kwa mwanaume alienaye. Na hisia zake kufunikwa na kumfanya asitamani kufanya naye tena. 

Unajua akinamama hawajiamini na ndio maana ndio wanaoongoza kukaa kwenye vioo na kununua sura na maumbo bandia. hivyo maumbile pia yanawasumbua akina mama km matiti makubwa au madogo kupitiliza, via vyao na haswa waliokwisha kuzaa ujihisi kama maumbile yake yamebadilika sana na umfikisha mama mahali ambapo hatamani kushiriki tendo la ndoa. Ndio maana wanandoaa mnatakiwa kuongea sio kufanya kimya kimya kama mtu anayechimba choo.

Jingine ni mwana mke kutompenda mwanaume kwa sababu ya kulazimishiwa ndoa na wazazi au ndugu. Saa zingine zinaweza kuwa maumbile ya mumuwe kama vile kuota kitambi au kukonda wakati alikuwa na mwili mkubwa. 

Mwanaume kipato ndugu, yupo mwanamke ambaye hajisikii kufanya mapenzi na mumewe kisa mume anakipato kidogo maanake alikuwa na uwezo ukashuka, au alidanganya kuwa anafanya kazi bandari wakati Dodoma hamna bandari kumbe sharobaro anakula kwa mama yake hapa unatengeneza mazingira ya kunyimwa na wala usinitafte mm wala mchungaji au shekhe pambana na ujinga wako. 

Saa zingine mwanamke kafanikiwa kupandishwa cheo kazini na kujikuta katika mazingira ambayo yanamkutanisha na watu wapya wenye nyadhifa kubwa na waliotofauti mara leo kavaa hivi kesho kabadilisha gari nk, kitu ambacho umfanya ajisikie kuwa mume aliyenaye sio chaguo lake sahihi. Mume anabaki Yule jana leo na hata milele habadiliki, hali hii umfanya mama kumzoea na kumuona wa kawaida sana hivyo kukosa hamu ya kushiriki naye tendo la ndoa jambo ambalo ufungua milango ya michepuko. 

Mambo tulioyazungumza hapo hawali kwa ujumla wake ufanya mwili wa mama kuzalisha kemikali ambazo haziruhusu hisia za kushiriki, mwili ufa ganzi na kuufanya uke kuwa mgumu na wanapokutana na mumewe ujikuta akiambulia maumivu hali hii umfanya asifike kileleni kitu kinachowafanya wachukie tendo la ndoa na hata ikilazimika anashindwa kutulia kwenye tukio huku akikosa raha ya tendo.

MATATIZO KWA UPANDE WA WANAUME

Mawazo ya kukosa kazi au kuachishwa kazi, migogoro ya kazin isiyoisha na ugumu wa maisha. Mambo kama hayo umfanya mwanaume afikirie sana na kutumia nishati nyingi katika kupambana na hali hizo. Mwili ukosa hali ya utulivu na kuliwazia jambo hilo inakuwa ngumu kama kusubiri meli kwenye kiwanja cha ndege au kama mtu anayefikiria kuwa nguruwe anawezpaa.

Mwanamke msemaji sana nalo ni tatizo kwa upande wa mwanaume. Asiye na kauli nzuri au mkosoaji wa kila anachofanya mwanaume nje ya nyumba na hata faraga. Mwanamke wa nama hii asitegemee kupata penzi toka kwa mumewe. Cku zote mwanaume upenda kauli za upole na hata katika kumkosoa anatakiwa kutumia lugha inayoonyesha kujishusha. Yaani hata kama mwanaume ni morofi kiasi gani utashangaa unamnyoa tu kirahisi kama Samson alivyonyolewa na delila.

Mwanamke mlalamishi na mwenye manunguniko yasioisha kuhusiana na kipato cha mumewe au hali walionayo ya kimaisha na kuanza kuilinganisha na majirani au marafiki zao umpelekea mwanume kuondoa penzi lake kwako. 

Wanawake wengi udhani kuwa kulalamika sana kutamfanya mwanaume atulie au amsikilize kinyume chake wanamfukuza maana mwanaume yuko kama mtoto anataka kubembelezwa sasa ukianza kelele ujue unafungua njia ya kutopata penzi au kukimbiwa. Sio katika maisha tu hata faraga ukiona hakufikishi usimlaumu wala kulalamika tafta njia sahihi ya kufikisha ujumbe na ushauri wa nini kifanyike kutatua kasoro zilizopo.

Kingine ni tabia za mwanamke za kukosa utulivu ndani ya ndoa au kutoka na wanaume wengine hata kama sio kimapenzi lakini wanatoka wanaenda nao out kwanza ujue hapo unambipi shetani na vishawishi vinaanzia hapo, hali hii uongeza hali ya kukosa amani kwa mumewe na hamu upungua hata akiamua kufanya utaona wazi kuwa ufanisi na ubunifu haupo tena hapo anafanyia mazoea tu. 

Siku hzi kuna simu zimefanya nyumba nyingi kuvunjika kwani mwanamke anakuwa busy sana kuchart kwenye mitandao ya kijamii na kusahau kuwa mumewa anahitaji kujaliwa. Jambo hili ulifanya penzi lenu kuingia doa na mume kukuhisi kama mlezi mwenza wa kulea watoto na sio mpenzi tena. 

Kumbuka kama huna wivu na mwenza wako ujue wazi humpendi. Kwa hyo kuwa na wivu ni jambo la kawaida na lisiloepukika kwani ni udhihirisho wa penzi lenu. Hvyo basi kama wivu ukizidi umsababishia mwanaume kuanza kukukwepa na mambo mengine ya kifamilia uyafanya kwa siri jambo ambalo uona ni bora kutoshiriki tena penzi na wewe.

Kutokumpenda mwanamke aliyenaye eidha kwa kuwa alilazimishiwa ndoa{ndoa za mkeka au wazazi} au aliingia kwenye mahusiani kwa kuongozwa na hisia zilizojazwa na mihemuko. Maumbile ya mkewe yanaweza kuwa hayamvutii labda mwanamke kanenepa kupita kiasi na kupoteza kile alichokifuata kwake.

Kwa mwanaume hormone ambazo utokana na woga au mawazo kama vile adrenaline zinamfanya ashindwe kusimamisha uume na kushindwa kutimiza wajibu wake kama mume, kumaliza mapema kabla mwenza wake hajatosheka na kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo tatizo linavyo zidi kuwa kubwa.

Ikiwa unahitaji msaada wowote wa kiafya kupitia tiba mbadala tafadhali tupigie kupitia mawasiliano haya hapa:.

0715-030961/0787-030961/0756-098022/0777-09
dr. Richard Kavishe dodoma tz
pia Golden Gate Sanitarium Clinic inapatikana mkoani njombe

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KUTANA NA GOLDEN GATE SANITARIUM CLINIC KUHUSU SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO KATIKA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA, JIFUNZE HAPA......

No comments :