Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SWIZ BEAT ANATAKA KUFANYA KAZI NA DIAMOND PLATNUMZ
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Producer na Rapper wa Marekani, Swizz beatz hakuishia kuicheza ‘Nana’ na ‘Nataka kulewa’ za Diamond hivi hivi bali anataka kufanya nae kazi.

Diamond akinukuliwa katika interview na mtandao wa Ayotv.com amesema Producer huyo ambaye pia ni Mme wa Alicia keys alimtafuta hivi karibuni kwa lengo la kutaka waingie studio

“Kuna Collabo na watu wengi sana Kwa mfano kama juzi, juzi kati nafikiri, kama siku tatu nyuma hivi Swizz alinicheck akanambia itabidi tufanye kazi…. nikamwambia sawa, na tuko tunaplan, nikamwambia mimi nakuja Marekani nafikiri mwezi wa tatu kama sijakosea, au before mwezi wa tatu, kwasababu kushoot video yangu niliyofanya na Neyo, ndio tunaenda kushoot video, Ah nikamwambia nikija ndio itakuwa time nzuri tunafanya hapo hapo” Alielezea Diamond .

Ukaribu wa Diamond na Producer huyo mkongwe wa Marekeni Swizz Beatz ulianza baada ya Producer huyo kupost video mbili tofauti akicheza na mtoto wake nyimbo za Diamond.

Pia Diamond amesema ana collabo nyingine kubwa na msanii wa Marekani japo alikataa kumtaja.

HAPA  SWIZZ BEATZ NA MWANAYE WAKICHEZA NANA YA DIAMOND PLATNUMZ

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SWIZ BEAT ANATAKA KUFANYA KAZI NA DIAMOND PLATNUMZ

No comments :