Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NDEGE ZA MAREKAN ZAGONGANA WATU WASIOPUNGUA SITA WASADIKIWA KUFA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ndege mbili za wanajeshi wa Marekani aina ya helikopta zimegongana karibu na kisiwa cha Hawaii cha Oahu zote zikiwa na abiria sita.
Mkuu wa walinzi wa pwani hiyo Sara Mooers amesema kuwa mabaki yalipatikana baharini,lakini bado haijabainika ni vipi ajali hiyo ilitokea.
Kapteni wa jeshi hilo Timothy Irish ameliambia shirika la habari la AP kwamba usakaji na uokoaji ulikuwa unaendelea.
Ndege hizo zinatoka katika kitengo cha kwanza cha jeshi hilo lililo na kambi yake huko Hawaii.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NDEGE ZA MAREKAN ZAGONGANA WATU WASIOPUNGUA SITA WASADIKIWA KUFA

No comments :