Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NI SAWA UAMUZI WA CANNAVARO,HATA KAMA NINGEKUWA NI MIMI NINGELAZIMIKA KUSTAAFU STARZ!!!
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ukiwa unaujua umuhimu wa Nadir akiwa na kikosi cha taifa au klabu yake ya Yanga basi ni lazima utajua kuwa ni wazi kwa alichokifanya Mkwasa si sawa na heshima aliyotakiwa kupewa naodha huyo wa zamani wa Taifa stars .
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na klabu ya Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ameamua kustaafu kuichezea timu hiyo ili kuweka nguvu kwenye klabu yake Yanga sc
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na klabu ya Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ameamua kustaafu kuichezea timu hiyo ili kuweka nguvu kwenye klabu yake ambayo inapambana kutetea ubingwa wa ligi ya Vodacom Tanzania bara.
Cannavaro amesema kuwa yapo mambo mengi yaliyomfanya ajiondoe kuichezea timu hiyo moja wapo ni kitendo kilichofanywa na kocha mkuu wa timu hiyo Charles Boniface Mkwassa kumteua mshambuliaji Mbwana Samatta kuwa nahodha bila kumpa taarifa kabla na kingine ni lawama anazopata kutoka kwa mashabiki ambao wanadai yeye ndiye anayeifungisha timu hiyo.
“Nimecheza kwa miaka 10, mengi nimefanya na nimepata acha niwaachie wengine waje kuichezea Stars kwa mafanikio makubwa katika kuhakikisha inapata mafanikio katika siku za baadaye.
“Naamini ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kwangu kutangaza kustaafu kuichezea Stars, ninaamini wapo wachezaji wengi wanaochipukia watakaonirithi mimi na wakongwe wenzangu,” anasema Cannavaro.
Cannavaro anasema maneno yamekuwa mengi na yalianza mara baada ya mechi ya marudiano ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia dhidi ya Algeria kule kwao.
“Katika mechi hiyo tulifungwa mabao 7-0, mechi hiyo muda mwingi tulicheza pungufu baada ya Mudathiri (Yahya) kutolewa kwa kadi nyekundu, tulijitahidi kupambana kuhakikisha tunawatoa Algeria lakini ikashindikana, cha ajabu mara baada ya mechi hiyo nilionekana mimi pekee ndiye niliyefungisha, nilijisikia vibaya sababu nilipambana kwa ajili ya taifa langu na mwisho wa siku naonekana si lolote,”anasema Canaavaro.
Baada ya kusikia hayo maneno na kocha kumtangaza Samanatta kama nahodha mpya ameona nibora ajiweke pembeni na amepanga kupeleka barua rasmi kwa Shirikisho la TFF ya kuwapa taarifa ya kustaafu kwake kuichezea timu ya taifa.
“Nguvu zangu zote nitazihamishia katika klabu yangu ya Yanga. Hivi sasa nimepona majeraha ya enka niliyoyapata nikiwa naitumikia Stars tulipocheza na Algeria, hivyo ninaamini baada ya wiki mbili nitarejea uwanjani,” anahitimisha Cannavaro.
kutokana na maneno ya naodha huyo wa Yanga SC, kama itawezekana ni vema Mkwasa akamwomba RADHI  ili kuonesha kutambua kosa lake kwa mtu mwenye heshima kama Nadir Haroub Canavaro.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NI SAWA UAMUZI WA CANNAVARO,HATA KAMA NINGEKUWA NI MIMI NINGELAZIMIKA KUSTAAFU STARZ!!!

No comments :