Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ADELE NYOTA WA WIMBO WA "WHEN WE WERE YOUNG" AFUNGA TUZO NNE TUZO ZA KUMBUKUMBU ZA DAVID BOWIE.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Adele ni malkia wa Uingereza,baada ya kushinda tuzo nne ikiwemo ile ya mwanamuziki bora pamoja na albamu bora.

''Kurudi baada ya mda mrefu na kupokewa kwa taadhima ni muhimu sana kwangu,''alisema.

Nyota huyo aliyefunga hafla hiyo kwa kucheza wimbo 'When we Were Young',pia alipokea tuzo ya wimbo bora nchini Uingereza pamoja na tuzo ya dunia ya ufanisi.

Sherehe hiyo pia ilishirikisha kumbukumbu za marehemu David Bowie zilizoendeshwa na Annielennox na Gary Oldman.

Oldman baadaye alikubali tuzo kwa niaba ya mwanamuziki huyo na familia.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ADELE NYOTA WA WIMBO WA "WHEN WE WERE YOUNG" AFUNGA TUZO NNE TUZO ZA KUMBUKUMBU ZA DAVID BOWIE.

No comments :