Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NGULI WA FILAMU NCHINI INDIA{ SUNJAY DUTT} HURU TEAN URAIANI.......
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Nyota wa filamu za Bollywood Sanjay Dutt ameachiwa huru kutoka jela katika mji wa magharibi wa Pune nchini India.

Sanjay Balraj Dutt  aliyezaliwa mnamo july 29 mwaka 1959  Mumbai, Maharashtra,nchini  India akiwa ni maarufu kwa jina la Sunjay Dutt mwenye umri wa miaka 56 alihukumiwa kifungo jela kufuatia makosa ya kumiliki silaha inayohusishwa na mlipuko wa mwaka1993 mjini Mumbai ambapo takriban watu 257 waliuawa na wengine 713 kujeruhiwa.

staa huyo wa filamu za Dhamaal (2007), Shootout at Lokhandwala (2007), All the Best (2009), Double Dhamaal (2011), Son of Sardaar (2012) and Agneepath (2012) alipatikana na hatia ya kununua silaha hiyo kutoka kwa walipuaji ,lakini akasema kwamba silaha hizo zilikuwa muhimu kwa lengo la kuilinda familia yake wakati wa ghasia za Waislamu dhidi ya Hindu.

Nyota huyo baadaye alipelekwa hadi katika jela ya Pune mwaka 2013 ili kukamilisha kipindi chake cha miaka mitrano.

Hata hivyo alipewa msahama wa siku 144 baada ya kuonekana kuwa na tabia njema na vitendo kama vile kusimamia kipindi cha redio.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NGULI WA FILAMU NCHINI INDIA{ SUNJAY DUTT} HURU TEAN URAIANI.......

No comments :