Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » CHEKI HII YA SCHOLES NA MAPENZI YA MAN U
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Man United na timu ya taifa ya Uingereza Paul Scholes ambaye amewahi kuichezea klabu ya Man United kwa zaidi ya miaka 15, anatajwa kutaka kuacha kazi yake ya uchambuzi wa soka katika kituo cha BT Sport kwa ajili ya mapenzi yake kwa Man United.

Scholes anataka kuachana na kazi ya uchambuzi ili ajiunge kwa mara nyingine tena na klabu ya Man United, ila safari hii anataka kurudi kama kocha wa timu hiyo na sio mchezaji, Scholes ni moja kati ya wachambuzi wanaokosoa sana mbinu za kocha wa Man United wa sasa Louis van Gaal.

Scholes aliwahi kuwa moja kati ya watu wa benchi la ufundi la Man United na kumsaidia rafiki yake Ryan Giggs kuifundisha Man United katika kipindi kifupi cha mpito, April 2014 baada ya Man United kumfuta kazi kocha wa zamani wa Man United David Moyes, ila Manchester Evening news wanaripoti kuwa sasa anataka kurudi serious katika kazi hiyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / CHEKI HII YA SCHOLES NA MAPENZI YA MAN U

No comments :