Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UNAIJUA IDADI YA SIMBA NCHINI KENYA WANAORIPOTIWA KUZAMA KATIKATI YA MAKAAZI YA WATU?
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

February 8 nchini India, Chui alitengeneza headline baada ya kuingia kwenye majengo ya shule na kujeruhi wanafunzi 6, siku tano mbele headline ziliendele India baada ya  Tembo kuingia mtaani na kufanya uharibifu wa mali za watu.

Leo February 19 2016 nchini Kenya  Maafisa wanyama pori wanawatafuta Simba 6 wanaripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyama pori ya Nairobi National Pack na kuripotiwa kuelekea mji wa Langata nchini humo.

Maafisa hao wametoa namba za simu kwa wananchi watakazo weza kupiga bure kwa ajili ya kuwasaidia kama watawaona Simba hao . 

Leo asubuhi maafisa wanyama pori  wameingia kwenye makazi ya  mji wa Langata kwa ajili ya msako wa Simba hao.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UNAIJUA IDADI YA SIMBA NCHINI KENYA WANAORIPOTIWA KUZAMA KATIKATI YA MAKAAZI YA WATU?

No comments :