Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RIDHIWANI KIKWETE ATOA VITABU MSINGI NA SEKONDARI CHALINZE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ametoa vitabu vya kujifunzia vya masomo ya sayansi na hisabati katika shule za msingi na sekondari jimboni humo vyenye thamani ya sh. Mil 70.
Mbunge huyo ametoa vitabu hivyo kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la KULEA childcare village ili kupunguza tatizo la uhaba wa vitabu hususan vya sayansi.

Akikabidhi vitabu hivyo kwa mwalimu mkuu shule ya sekondari Mdaula , Melkisedek Komba, kwa niaba ya walimu wakuu wa shule nyingine Ridhiwani alisema jumla ya vitabu vyote ni 3,438 .
Alielezea kuwa vitabu hivyo vitagawiwa katika tarafa tano zilizopo kwenye halmashauri ya Mji wa Chalinze ambapo tarafa ya Chalinze imepatiwa vitabu 998 na tarafa nne zilizobakia zitapata vitabu 610.

Chanzo: Startv

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RIDHIWANI KIKWETE ATOA VITABU MSINGI NA SEKONDARI CHALINZE

No comments :