Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAHUKUMIWA MIAKA 20 KWA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO DODOMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mahakama ya mkoa wa Dodoma imewahukumu watu wawili kifungo cha miaka ishirini gerezani kila mmoja kufatia kutiwa na hatiani kwa kosa la kukutwa na meno ya tembo eneo la Atta wilaya ya Kondoa mwaka 19/ 5/ 2014.

Waliohukumiwa kifungo hicho ni pamoja na Khamis Juma na Hussen Juma wakazi wa wilaya Kondoa.

Wakili wa serikali Consntatin Kikula wakishirikiana na wakili wa kutoka hifadhiu ya taifa ya tarangile Linus Bugabe waliiambia mahakama hiyo kuwa watuhumiwa hao walikamatwa na wahifadhi wa mbuga ya tarangire kwa kushirikiana na polisi wilaya ya bababti

Ambapo walikutwa na meno mawili ya tembo yakiwa  uzito wa kilo 43  yenye thamani ya shilingi milioni 38 laki tano elfu 49 na mia tano hivyo kuiomba mahakama hiyo kutoa adhabu  kali kwa watuhumiwa hao ili liwe fundisho kwa wengine.

Akitoa hukumu hiyo hakimu mkazi mfawidhi Mh. Fovo alikubaliana na maelezo ya upande wa serikali kwa madai kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiendelea kushamili hivyo kulisababbishia hasara taifa.

Sambamba na kumalizika kwa wanyama hao hivyo kutupilia mbali hoja ya upande wa utetezi wa washitakiwa hao  waliokuwa wakitetewa na wakili msomi Godfrey Wasonga.

Chanzo Startv

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAHUKUMIWA MIAKA 20 KWA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO DODOMA

No comments :