Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » SUDAN KUSIN KARIBU KATIKA EAC LAKINI MIGOGORO HUKU HATUTAKI...MWISHO JUBA.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wameidhinisha kwa kauli moja Sudan Kusini kujiunga na jumuiya hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa na viongozi hao kwenye mkutano wao uliofanyika mjini Arusha, Tanzania leo Jumatano. 
 
Taarifa iliyotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki imesema viongozi wameridhia Sudan Kusini kuwa mwanachama wa 6 wa EAC baada ya kutimiza masharti yote yanayohitajika kwa mwanachama mpya. 

Mkataba uliopelekea kuundwa Jumuiya ya Afrika Mashariki unasema kuwa, ili nchi ikubaliwe kuwa mwanachama ni sharti iwe inaheshimu misingi ya demokrasia, haki za binadamu, usawa wa jamii, utawala bora, uwazi na uwajibikaji. 

Sudan Kusini iliomba kujiunga na EAC punde baada ya kujitangazia uhuru wake kutoka kwa Sudan mwaka 2011. Hata hivyo, mchakato wa kuiidhinisha nchi hiyo umekuwa ukisuasua kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni udhaifu kwenye taasisi muhimu za nchi hiyo pamoja na hali mbaya ya usalama. 

Kwa kuidhinishwa Sudan Kusini kuwa mwakachama wa 6 wa EAC, kumuiya hiyo sasa imekuwa na idadi jumla ya watu milioni 162.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / SUDAN KUSIN KARIBU KATIKA EAC LAKINI MIGOGORO HUKU HATUTAKI...MWISHO JUBA.

No comments :