Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAHAMIAJI BADO NI JANGA KWA UTURUKI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Umoja wa Ulaya na viongozi wa Uturuki waliokutana mjini Brussels wameshindwa kufikia muafaka wa suluhisho la mgogoro wa wahamiaji.
Uturuki inatuhumiwa na Jumuiya ya Ulaya kuwa na wimbi kubwa la wahamiaji wanaovuka ,na kuchukua msaada unaozidi euro bilioni tatu.
kutokana na hali hiyo Umoja wa ulaya umeitaka Uturuki kuwachukua wahamiaji ambao hawakukidhi vigezo vya kupata hifadhi na kuongeza jitihada zaidi za kuwazuia kuvuka bahari ya Aegean kuelekea Ugiriki.
Raisi wa bunge la Ulaya ,Martin Schulz amesema suala la maombi ya uturuki kutaka kuongezewa euro bilioni tatu ili kulipia huduma za afya na shule kwa ajili ya wakimbizi wanaokaa nje ya kambi bado linajadiliwa katika mkutano huo wa nchi za umoja wa ulaya.
Hata hivyo Katibu mkuu wa NATO amesema mkutano huo ulioanza jana unafahamika wazi malengo yake katika nchi ya Uturuki na ukanda wa bahari ulioko upande wa ugiriki. 
Ameyasema wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari,Jens Stoltenberg na Waziri Mkuu wa Uturuki Jens Stoltenberg.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAHAMIAJI BADO NI JANGA KWA UTURUKI

No comments :