Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BOSI WENGA ASEMA WALIPOTEZA TAJI LA EPL NYUMBANI KWAO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa timu yake ilipoteza harakati za kushinda ligi wakati wa kucheza mechi za nyumbani dhidi ya timu zilizo chini ye jedwali.
Arsenal iliopo katika nafasi ya nne imeshinda mechi sita kati ya mechi 16 ilizocheza.
Baadhi ya mashabiki wamemtaka raia huyo wa Ufaransa kuondoka katika mechi za hivi karibuni.

Ni lazima tujue kwamba ugenini tumekuwa washindi .
Lakini nyumbani dhidi ya timu ndogo tulipoteza pointi nyingi,alisema Wenger.
Maandamano zaidi yanatarajiwa wakati wa mechi ya Jumamosi katika uwanja wa Emirates dhidi ya Norwich.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BOSI WENGA ASEMA WALIPOTEZA TAJI LA EPL NYUMBANI KWAO

No comments :