Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MWANAMKE SHUJAA WA WATUMWA WENZAKE MMAREKANI KUKUMBUKWA KWENYE DOLA Y AKIMAREKANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Picha ya mtumwa mmoja aliyekata nyororo na kisha kusaidia mamia ya wenzake kutoroka utumwa sasa itatumika katika noti mpya ya dola 20 nchini Marekani.
Bi Harriet Tubman atakuwa Mwafrika Mmarekani wa kwanza kuangaziwa kwenye sarafu ya Marekani.
Vilevile ndiye mwanamke wa kwanza katika kipindi cha karne moja katika historia ya Marekani picha yake kuwekwa kwenye dola.
Picha hiyo itabadilishwa na ile ya awali ya rais wa saba wa Marekani Andrew Jackson ambaye alikuwa akimiliki watumwa enzi hizo.
Sasa picha ya Andrew Jackson itakuwa nyuma ya noti hiyo.
Noti hiyo itaanza kutumika mwaka 2020 lakini idara ya fedha nchini Marekani imesema ni mwanzo wa kuwakumbuka na kuwaenzi waliopigania haki za kibinadamu nchini humo.
Bi Tubman alizaliwa miaka ya 1800 utumwani jimbo la Maryland. Alifariki 10 Machi, 1913 akiwa eneo la Auburn, jimbo la New York.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MWANAMKE SHUJAA WA WATUMWA WENZAKE MMAREKANI KUKUMBUKWA KWENYE DOLA Y AKIMAREKANI

No comments :