Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SPURS WAIFUKUZIA LEICESTER CITY, WAIADABISHA STOKE 4-0>> {VIDEO}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kwa ushindi huo Spurs wanafikisha alama 68 wakiwa wamecheza michezo 34, hivyo kupunguza pengo dhidi ya Vinara Leicester City kufikia alama 5,huku wakiwa wanalingana michezo waliyocheza.
Mshambuliaji mahiri wa kikosi cha Spurs Harry Kane alianza kuzifumania nyavu katika dakika ya tisa ya mchezo, kisha kiungo Delle Ali akaongeza bao la pili katika dakika ya 67 kipindi cha pili.
Katika dakika ya 71 Harry kane tena akawatungua Stoke City kabla ya Dele Ali kuhitimisha ushindi huo kwa bao la nne katika dakika ya 82.
Mshambulia Harry Kane amefikisha idadi ya mabao 24 akifuatiwa na Jamie Vardy mwenye 22 huku Sergio Aguero akiwa na mabao 21.
Tazama hapa highlights za magoli yote >>>>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SPURS WAIFUKUZIA LEICESTER CITY, WAIADABISHA STOKE 4-0>> {VIDEO}

No comments :