Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WANAKIJIJI WAWAJIA JUU VIONGOZI KWA KUUZA TREKT AKWA BEI YA KUTUPWA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

NA.Ezekiel Kamanga,Chunya.
Wakazi wa kijiji cha Ifumbo wilayani Chunya mkoani Mbeya wameunda kamati ya ufuatiliaji wa uuzwaji wa trekta la kijiji hicho lililouzwa na uongozi wa halmashauri ya kijiji kwa shilingi milioni tano bila kushilikisha wananchi.
 
Wakiongea kwa nyakati tofauti katika mkutano hadhara wa kijiji wakati wakisomewa mapato na matumizi  ya  kijiji wakazi hao walisema wanataka kurudishiwa trekta lao kwani hawajaridhika na bei hiyo waliuza ukilinganisha na thamani ya trekta.
 
Waliendelea kueleza kuwa  kama walipata mteja kwa bei hiyo wangeitisha mkutano wa hadhara ili wananchi wakubaliane na bei hiyo aliyoitaja mteja huyo au laa,lakini badala yake wao kama uongozi wa kijiji wakachukua maamuzi bila kulileta kwa wananchi kitu walichopinga vikali na kutaka trekta yao irudishwe kijijini halo.

Akizungumzia suala hilo mwenyekiti wa kijiji hicho cha ifumbo Lyashi Mwambyalo na kaimu mtendaji Emily Rajabu walisema kuwa wao waliamua kuuza bei hiyo kutokana na trekta hiyo kuonekana kuwa ni chakavu na vifaa  vingi vimepotea  na kwamba wananchi walivyowambia liuzwe hawakuta bei ya kuuza hilo trekta.

Kwa upande wake diwani wa kata hiyo Michael Zanzi akizungumzia suala hilo alisema kuwa yeye kama mwakilishi wa wananchi akizungumzia uuzaji wa trekta alisema kuwa yeye licha ya kujua kuwa wananchi walitoa maoni ya kuuzwa kwa trekta hilo lakini hakuweza kuhusishwa na halmashauri ya kijiji katika mchakato mzima badala yake aliitwa siku ambayo mteja amefika na wamekubaliana bei wakiwa wanaendelea na kikao wakiwa wametaja hiyo bei.

Zanzi aliendelea kueleza kuwa yeye hakukubaliana kabisa na kuuzwa kwa trekta hiyo kwa bei hiyo ya shilingi 5 miloni na akashauri halmashauri ya kijiji kite mkutano wa kijiji ili wananchi lakini akashangaa viongozi wa kijiji wamechukua fedha bila kuita mkutano wa hadhara na kuleza kuwa wananchi wana haki ya kudai trekta hilo kwasababu hawezekani trekta kuuzwa sh.5 milioni.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WANAKIJIJI WAWAJIA JUU VIONGOZI KWA KUUZA TREKT AKWA BEI YA KUTUPWA

No comments :