Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » BASATA WAMEIONA VIDEO YA CHURA NA HAYA NDIO MAAMUZI YAKE...........
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo kwa kushirikiana na vyombo vingine vinavyoshughulika na sanaa ikiwemo BASATA wamekubaliana kuufungia wimbo na video ya Chura kupigwa kwenye vyombo vya Habari, maeneo ya hadhara na mahala popote kwenye mkusanyiko wa watu.

Serikali kupitia muwakilishi wake imedai kuwa, wimbo huo unadhalilisha na kukiuka haki za binadamu.

Wizara pia imebaini kuwa Msanii Snura, hana nyaraka maalum za kujihusisha kwenye masuala ya muziki, hivyo imemfungia kujihusisha na matamasha ya aina yoyote mpaka pale atakapotimiza taratibu.

Msanii huyo ameamriwa kutoa haraka video hiyo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Youtube, na kwa mtu yoyote atakayeisambaza kwenye mitandao ya kijamii atachukuliwa hatua kali za kisheria.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / BASATA WAMEIONA VIDEO YA CHURA NA HAYA NDIO MAAMUZI YAKE...........

No comments :