Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UKIFA NJAA NCHINI ITALIA UTAKUWA NA PEPO WA UZEMBE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kuiba kiasi kidogo cha chakula ili kujiokoa na njaa si uhalifu, Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini Italia imetoa uamuzi huo.

Majaji wa mahakama hiyo wametengua hukumu dhidi, Roman Ostriakov, baada ya kuiba jibini na soseji zenye thamani ya dola 4.50 kwenye duka kubwa la bidhaa.

Mahakama imesema Ostriakov, ambaye ni raia wa Ukraine asiyena makazi aliiba chakula kwa mahitaji ya mara moja ya dharura, na ambacho kinahitajika kwa virutubisho vya mwili, hivyo kitendo hicho sio uhalifu.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UKIFA NJAA NCHINI ITALIA UTAKUWA NA PEPO WA UZEMBE

No comments :