Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAADA YA ENGLAND KUJIONDOA UMOJA WA ULAYA, NI KWAMBA WAMEONDOLEWA PIA KATIKA MASHINDANO YA EURO 2016
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Stori kubwa kwa sasa duniani ni juu ya Nchi ya Uingereza kujiondoa katika jumuhiya ya umoja wa nchi cha Ulaya {EU}, kila mtandao umeandika story hiyo, lakini sasa hawa jamaa wameamua hata katika mashindano ya soka ya ulaya maalufu kama EURO ambayo kwa mwaka huu yako hapo Jijini Paris Ufaransa wameamua kujitoa.

lakini sasa hii ni tofauti na ile ya muungano wa ulaya kwani hii wameondolewa na timu ya taifa ya

Iceland kwa kufungwa magoli mawili kwa moja licha ya wao kutangulia kufumania nyavu za wapinzani wao.

hata hivyo nao mabingwa watetezi wa kombe hilo Spain nao wameondolewa jana kwa kukubali kipigo cha mabao mawili kwa sifuri kutoka kwa Italy.

video ya magoli ya mechi zote mbili  zitazame hapa bwana ucheki ufundi>>>>>>>

England vs Iceland

Italy vs spain

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAADA YA ENGLAND KUJIONDOA UMOJA WA ULAYA, NI KWAMBA WAMEONDOLEWA PIA KATIKA MASHINDANO YA EURO 2016

No comments :